Repository logo
Communities & Collections
All of DSpace
  • English
  • العربية
  • বাংলা
  • Català
  • Čeština
  • Deutsch
  • Ελληνικά
  • Español
  • Suomi
  • Français
  • Gàidhlig
  • हिंदी
  • Magyar
  • Italiano
  • Қазақ
  • Latviešu
  • Nederlands
  • Polski
  • Português
  • Português do Brasil
  • Srpski (lat)
  • Српски
  • Svenska
  • Türkçe
  • Yкраї́нська
  • Tiếng Việt
Log In
New user? Click here to register.Have you forgotten your password?
  1. Home
  2. Browse by Author

Browsing by Author "Waithiru Kago Antony, Wendo Nabea & Sheila Wandera-Simwa"

Filter results by typing the first few letters
Now showing 1 - 1 of 1
  • Results Per Page
  • Sort Options
  • No Thumbnail Available
    Item
    Nafasi ya Vifaa katika Kukuuza Anthroposenia katika Riwaya za Emmanuel Mbogo na Katama Mkangi: Mfano wa Bustani ya Edeni, Vipuli vya Figo, na Mafuta
    (Laikipia University, 2024-08-22) Waithiru Kago Antony, Wendo Nabea & Sheila Wandera-Simwa
    Makala haya yametathmini nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia katika riwaya mbili za Emmanuel Mbogo: Bustani ya Edeni na Vipuli vya Figo, na moja ya Katama Mkangi; Mafuta. Kwa jumla, anthroposenia humlaumu binadamu pekee kama asili ya uharibifu wa mazingira ulimwenguni. Waandishi hawa wawili wamefanikiwa kusawiri nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia kupitia riwaya zao teule. Lengo kuu ya makala haya lilikuwa kujadili nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia katika riwaya tatu zilizotajwa. Riwaya hizi tatu zilisomwa na mtafiti, kisha data iliyodhihirisha nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia ilitongolewa mintarafu ya lengo la makala haya. Ikizingatiwa kwamba utafiti wa makala haya ulitumia mbinu ya upekuzi-changanuzi wa yaliyomo katika ukusanyaji data, mtafiti alichanganua data baada ya kuyatongoa yaliyokuwamo kwa kuongozwa na baadhi ya nguzo kuu za Nadharia ya Uhakikimazingira ili kuafiki nia ya makala. Baadhi ya nguzo hizo ni maendeleo endelevu, utandawazi na uongozi mbaya. Deta iliwasilishwa na kuchanganuliwa kwa njia maelezo ilhali uchanganuzi wa data ulihusisha mbinu ya kithamano. Suala la utafiti lililonuiwa kutatuliwa na makala haya ni kuongeza kanoni ya anthroposenia kama taaluma. Ilibainika bayana kuwa, waandishi wa riwaya hizi tatu wamefanikiwa kusawiri nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia kupitia matumizi ya vifaa kama vile jaa la taka, viwanda, mvua na matope, fedha, simu na tarakilishi, pamoja na kitanda na mafuta

DSpace software copyright © 2002-2026 LYRASIS

  • Privacy policy
  • End User Agreement
  • Send Feedback
Repository logo COAR Notify